Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Jul 14, 2021 #1 Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,477 Reaction score 16,189 Jul 14, 2021 #2 Baraka hiyo mkuu...piga magoti tushukuru Mungu!
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Jul 14, 2021 Thread starter #3 Twilumba said: Baraka hiyo mkuu...piga magoti tushukuru Mungu! Click to expand... Amen!
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 4,183 Reaction score 5,610 Jul 14, 2021 #4 Hiyo ni neema.
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,751 Jul 14, 2021 #5 Tembo anazaa ukiona hivyo
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,343 Jul 14, 2021 #6 Hata huku jiji la makala tumeona mawingu....