Hiyo ni baraka, kupunguza joto, ni kujihadhari tu na mafuriko. Acha nguvu za asili zifanye kazi. Vipi wale wenye uwezo wa kucheza na hizi nguvu wanasemaje?
Hyo mvua inapigia kutokea huku ddm Kisha Moro imepiga kubwa Sana na huko dar usku wa leo itakuwa kubwa maradufu hayo Ni kutoka mamlaka za utabiri wa Hali ya hewa