Mvua inanyesha ulipo?

Mvua inanyesha ulipo?

kakamukubwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
203
Reaction score
27
Nipo pande za Manzese Mvua imeanzia darajani...kwenda mbele...

Vipi ulipo hapo..
 
Nimefungua haraka nikadhani ni mvua za chitchat.
 
Mafuriko NRB city ndugu, utabiri wa hali ya hewa for once sahihi.
 
Back
Top Bottom