Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,207
- 4,703
Wadau hatimaye Mungu amesikia kilio chetu wakazi wa Mbezi Beach na Jimbo la Kawe kwa ujumla
Joto lilizidi kuwa kero kubwa mno! Muda huu mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:12 asubuhi
Shukrani kwa maombi ya wote
Shukrani kwa maombi ya Mbunge wetu Askofu Gwajima
Tunafurahia mvua na wala hatuogopi mafuriko kwa uimara wa miundo mbinu
Aksante Mungu