Mvua ikinyesha trafiki wanakimbia

Mvua ikinyesha trafiki wanakimbia

Ahhh wapi, mbona anaeleweka tu. Pdidy mkongwe, mwaka wa saba huu bado anakimbiza.

Tahadhari: Mtu mwingine usiandike kama Pdidy, hautaeleweka............Hiyo ni copyright ya Pdidy tu.

duuh,hii ni kama rap katuni na Juma Nature?ndio identity yake
 
Last edited by a moderator:
pale hatari maana wanakaa trafik kama 10 na askari wa tigo na bunduki yaani ni balaaa hapo hii njaa itawauwa jamaaa hao
 
daa mimi napita pande hizo now sijui nitawakuta...!?
hicho ni kindegeleko tunaoelewa wachache ha ha ha ha haaaaa...
 
AISEE NIMEAMINI MUNGU ANASIKIa BANA

UNAJUA ASBH NILIPITA DARAJANI KAWE..Njia ya lugalo kwenda tegeta wamemwagika kama wako shule ndugu zetu

nikarudi kulala kidogo nikamwomba Mungu embu shusha mvua hata nisiwaone kabisa nianze mizunguko namii

navyoongea naandika huku vyoo vikilamba maji kwa mbaaliiii...ukihisi wanakusumbua hawa traffic we waombee mvua awaki hatasikumoja hatakama awajakusanya salio lao wataanza tu
Lazima wasepe Pdidy, hawataki noti mfukoni zilowe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom