Mvua ikinyesha trafiki wanakimbia

Mvua ikinyesha trafiki wanakimbia

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,659
Reaction score
37,828
AISEE NIMEAMINI MUNGU ANASIKIa BANA

UNAJUA ASBH NILIPITA DARAJANI KAWE..Njia ya lugalo kwenda tegeta wamemwagika kama wako shule ndugu zetu

nikarudi kulala kidogo nikamwomba Mungu embu shusha mvua hata nisiwaone kabisa nianze mizunguko namii

navyoongea naandika huku vyoo vikilamba maji kwa mbaaliiii...ukihisi wanakusumbua hawa traffic we waombee mvua awaki hatasikumoja hatakama awajakusanya salio lao wataanza tu
 
pls note

usiwaombee njaa kuna ndugu zetu
waombee mvua
 
yaani wewe mwalimu wako wa lugha alikua ana kazi sana

sijui unafanyaga makusudi

wenzio wanalipa kansiiime alfu tisini kesho kutwa

mi niko uku sikuzote buree hata ulipii unata kuwiwa???
 
Mvua ya baraka ya eid el fitri hiyo!

Pls P.diddy uwe na kituo kwenye uandishi wako.
 
Waswahili bana, hawajulikani wanataka nn.

Juzi kama si jana mliandika humu mnamuomba kova apeleke Askari maeneo ya Lugalo, mkasema usalama ni Mdogo sana.

Sasa amewaleta tayari mnawaona ni kero mnawaombea na mvua Ili waondoke.

Ndg ukitaka Uzuri lazima udhurike. Waacheni wafanye kazi yao, mmewaomba mwenyewe.
 
AISEE NIMEAMINI MUNGU ANASIKIa BANA

UNAJUA ASBH NILIPITA DARAJANI KAWE..Njia ya lugalo kwenda tegeta wamemwagika kama wako shule ndugu zetu

nikarudi kulala kidogo nikamwomba Mungu embu shusha mvua hata nisiwaone kabisa nianze mizunguko namii

navyoongea naandika huku vyoo vikilamba maji kwa mbaaliiii...ukihisi wanakusumbua hawa traffic we waombee mvua awaki hatasikumoja hatakama awajakusanya salio lao wataanza tu
Wanaomwelewa huyu Mkuu wana matatizo
 
Wanaomwelewa huyu Mkuu wana matatizo

Ahhh wapi, mbona anaeleweka tu. Pdidy mkongwe, mwaka wa saba huu bado anakimbiza.

Tahadhari: Mtu mwingine usiandike kama Pdidy, hautaeleweka............Hiyo ni copyright ya Pdidy tu.
 
Last edited by a moderator:
Ahhh wapi, mbona anaeleweka tu. Pdidy mkongwe, mwaka wa saba huu bado anakimbiza.

Tahadhari: Mtu mwingine usiandike kama Pdidy, hautaeleweka............Hiyo ni copyright ya Pdidy tu.

kweli kabisa kama watu wanakerwa na uandishi wake wasiwe wanasoma post zake maana watu wamepiga kelele hadi wamechoka,,,,,,,hahahahah.
 
Last edited by a moderator:
Pdidy Eid elfitr njema....................
leo ata STK unatembelea tuu manake hawatajali sana wakishapata za ubwabwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom