Mvua Dar es Salaam

Rejao

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
9,219
Reaction score
4,085
Kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa jijini...
Wataalamu tujuzeni kunani cuz hizi radi zinaweza kutuangusha tulio magorofani...
 
Kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa jijini...
Wataalamu tujuzeni kunani cuz hizi radi zinaweza kutuangusha tulio magorofani...

Rejao matokeo ya Arumeru vipi? Maana mara ya mwisho ulisema tusubiri ya vijijini? Vp ushayapata uyajumuishe?

Kumbe mtoto wa maghorofani wewe?
pole upo hall ii?
 
Wadau hata mimi nimepigiwa simu na ndugu zangu waishio Mbagala wameniambia hali ni mbaya! kumeripotiwa kudondoka kwa nyumba na uharibifu wa thamani! serikali ichukue hatua haraka ili yasitokee kama ya mwaka jana!
 
hatukujifunza baada ya yale ya mwaka jana, sijui hata kama serikali imejiandaa na maafa.
 
fedha zimeishia kwenye msiba wa wauza sura! Chezeya ccm veveee! Nyie mtajijua wenyewe.

kha! jamani mbavu zangu mie :heh::heh::heh: mtuoneage huruma maana umepiga ikulu hujabakisha pahala!
 
Rejao matokeo ya Arumeru vipi? Maana mara ya mwisho ulisema tusubiri ya vijijini? Vp ushayapata uyajumuishe?

Kumbe mtoto wa maghorofani wewe?
pole upo hall ii?
Arumeru wauliza leo hii? Mambo ya kule yashaisha...tunasonga mbele.
Kwa sasa tuongelee hatma ya mvua na tetesi za Tsunami.
 
Rejao matokeo ya Arumeru vipi? Maana mara ya mwisho ulisema tusubiri ya vijijini? Vp ushayapata uyajumuishe?

Kumbe mtoto wa maghorofani wewe?
pole upo hall ii?

Bado Tunasubiri Kura za Vijijini
 
Tuombe Mungu isiendelee na kuwa kali wakati Tsunami itakapofika. Ni hatari sana!
 
Ni kwa nini kunakuwa na foleni mbaya Dar kila mvua ikinyesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…