mndemeimran
Senior Member
- May 7, 2017
- 112
- 74
Muhusika ni serikali.HILI SUALA LA OVERLOADING HADI LINI??kuanzia Mv Bukoba na Spice zote sababu ni hiyo hiyo.Umefika wakati wahusika kuwajibishwa kwa adhabu kali zaidi kama kunyongwa hadharani au kifungo cha maisha.
TUMECHOKA KUPOTEZA NDUGU ZETU WASIO KUWA NA HATIA KWA SABABU YA UZEMBE WA WACHACHE
Post ya MWENDO KASI hii...balaa!Mkiwa mnazungumzia Overloading msisahau kabisa daladala nda ya miji yenu hasa dar