MV magogoni

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
0
jamani hili la matangazo ya airtel na mganga wa tiba asili badala ya KUTANGAZA JINSI YA KUJIOKOA,JINSI YA KUTUMIA MABOYA NA LIFE JACKETS wakati inapotokea dhoruba baharini limekaaje?au ndo mambo ya 10percent?SUMATRA PLEASE SAIDIENI KTK HILI
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,444
2,000
kwani we mgeni tanzania? business comes first safety on board baadae.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom