Muziki ya Darasa Vs Koroko ya Rich mavoco

desiigner

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
520
Reaction score
230
Ipi ngoma kali ya kufunga mwaka 2016

Darasa ft. Ben Paul - Muziki


Rich mavoco ft. Mondi - koroko
 
Mtoto ndizi anaing'ata ka ngedere!!!!!!!!!! [HASHTAG]#kokoro[/HASHTAG]
 
Wcb wakitoa nyimbo na msanii mwingine kazi inakuwa ngumu kwa msanii mwingine maana kiki ya WCB siyo mchezo.
Nahisi hii ngoma ambayo inaweza survive kwa kiki kali za WCB...
 
Huyu jamaa anaujua muziki...classic music

Wale wengine kwenye nyimbo zao chorus ndo zinahit
 
Darasa sipendi style yake hii japo ndio inayomuingizia hela

Namkubali sana darasa ila usimlinganishe na Mondi
 
Nimeikubali sana ngoma ya darasa ni kali hatari na pia haichuji masikioni mwangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…