'Muziki' wa CCM wamzidi Lowasa

Hongera umefanikiwa kupost for the first time karibu sana JF.
 
Dah kitu pekee ambachi huwa najivunia ni kwamba sijawahi kununua gazeti la aina hii, na hata kusoma huwa ni vichwa vya habari ila kulifunua ndani sijawahi, na huwa naishia kuliona kwa mama muuza vitumbua
 
Tunahitaji kiongozi makini mwenye uzalendo wa kweli na nchi yake, hatuhitaji walipa visasi na wenye uroho wa pesa. Chaguo bora ni Magufuli
 
huyo magufuli wenu mwenyewe anataka mabadiliko, ccm mtajibeba
 
hawa jamaa na jumuiya yao isiyo rasmi wanahaha sana, wakishakosa kura kwenye uchaguzi wataanza kuuguzana
 
Huku mnaandika wa CCM kwenye posters mnaandika Magufuli.
 


Ndugu yangu ni ishara tosha kwamba watu hawaitaki CCM Kabisa wanaotangazwa ni wasanii kwenye ujio wa magufuli na hii yote ni kwa sababu CCM imezoea mizaha na usanii,bila diamond,na wapuuzi wenzake hakuna mkutano.Sisi kwetu huku baada ya kuona hakuna mtu kwenye mkutano wakaanza maonyesho ya nyoka nikacheka sana kweli CCM wamekaangika vzr sana ambaye hajaanza kufungasha mizigo yake shauri yake gari litamuacha.
 

Umetumwa?
 
Magufuli wetu ccm! Kwani Lowasa wa wapi? Si wa ccm pia. Duni wa cuf. Si so wageni nchi hii chadema tunawafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…