Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
kama hao comfort ndio wamemuuzia hiyo ndege mtumba??Mbona naona logo ya comfort jet services?
kama hao comfort ndio wamemuuzia hiyo ndege mtumba??Mbona naona logo ya comfort jet services?
Mkuu hii ndege ni mali ya Kampuni ya Comfort jet service ambayo wamiliki wake wanakaa Togo. Labda useme kakodi tutaelewana. hata hivyo angeinunu wasanii wetu wanavyo penda sifa angekua kashaondoa rangi na nembo ya hiyo kampuni.
Tusubiri Aweke nembo yake au afute iliyopo ndo tujue kainunua.
![]()
![]()
Mia