Muyafahamu haya......U..,U...,U...

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,259
Reaction score
118
Habari waungwana JF!
Hizi ni maana ya Uganga.Uchawi&Ushirikina.
Loh! Jamaa wengi utawasikia wakilalamika na kutoa maelezo mengi kuhusu mambo hayo...
Sasa tuanze kuyaelezea...
1-Uchawi ni nin?
2-Ushirikina ni nini?
3-Uganga ni nini?
Nawakilisha.
 
1-uchawi ni kufanya extraodinary power.
There are two groups
(i)white magic
(ii)black magic
 
kwenye mtaala wa elimu ya bongo hayo masomo hatufundishwi
 
kwenye mtaala wa elimu ya bongo hayo masomo hatufundishwi
Tangu nifundishwe hiyo mitaala yenu...sijaona mtaala unaokufundisha kuwa mbishi.
Kwani humu kuna darasa la mtaala wako?
MMU ni mtaala wako pia?
 
aliyepotea anahitaji kuelekezwa.
Nielekeze njia.
Haya bibie!
Njia hapo mwanzo nimeeleza kwanini jamii inapenda kulalamikia jambo na kuelezea jambo usilolijua maana yake?
Ndio nahitaji kupata pia maono ya wana jamvi kujibu hayo maswali mpendwa!
 
Haya bibie!
Njia hapo mwanzo nimeeleza kwanini jamii inapenda kulalamikia jamvo na kuelezea jambo isilolijua maana yake?
Ndio nahitaji kupata pia maono ya wana jamvi kujibu hayo maswali mpendwa!

jambo usilolijua huwezi kulielezea.
Mambo kama ya uchawi yamekaa kinadharia.
Kama hujawahi kukutwa na mauza uza huwezi kuamini kama uchawi una exist. Mimi nafikiri
Uchawi ni roho mbaya .
Ukishakuwa na roho mbaya tayari ushakuwa mchawi.
 
Kama naanza kukuelewa kwa mtazamo wa kinyume nyume!
Roho mbaya ndio uchawi?
Roho mbaya ndio vipi?
 
Hivi jukwaa la uchawi hakuna hapa jamvini????
 
jamani wanajamvi....naombeni majibu ya hizo vitu!
Kwasababu hua zinaelezewa kama vile wazijua sana!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…