Muwekee maneno Nduga ya kumwambia CAG

Muwekee maneno Nduga ya kumwambia CAG

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Jaza nafasi wazi [emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1554627980236.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania inahitaji sana wanaume kama proff Assad Musa na mr Kipanya, nafurahishwa sana na utendaji wa kazi wa hawa watu
 
Tumekataa kufanyi kazi na prof assad sio wewe c.a.g.
 
Yeye kasema anafanya kazi na ofisi ya CAG na sio huyo mtu.

Sasa hapo kaenda anakuta ofisi tu atasema nini?
Umenikumbusha kitu. Naenda Ikulu kumuona Rais lakini sitaki nikutane wala Kuongea na Magufuli. Tanzania tumelogwa vibaya sana hawa wakati huu.
 
C.a.g aombwe radhi ,mm nasubr nione ule msemo wa msema kweli ni mpenzi wa mungu ,kama ni real.
 
Back
Top Bottom