Muwe na misimamo na sio unafiki

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
494
ImageUploadedByJamiiForums1448258484.647230.jpg
 
Muheshimiwa aliwaambia wabunge wa ccm kuwa wamsaidie kupambana na mafisadi na wezi, nilishangaa sana Kwani wabunge wakumsaidia juu ya hayo sio wa CCM ni wale waliotolewa nje!!!!
 
ukiwa mbunge wa ccm hutakiwa kutafakari kwa kina .... unatakiwa kupiga makofi tu ....
 
Wa Tanzania ni wanafiki sana ukiwasikiliza utapata stress za bure!! Jk alishawajua ndo maana akawapotezea, kuanzia 2007-2010 alilaumiwa sana kwa kuwakumbatia Rafiki zake kina Lowassa na Rostam mpaka akina kubenea aakamlaumu sana kwa kuwakumbatia kina Rostam na Lowassa pia muda huo huo akalaumiwa sana kwa kuwatelekeza Sitta na Mwakyembe, baada ya uchaguzi 2010 akaamua kuwapotezea kina Lowassa akaamua kugeukia kwa kina Sitta na Mwakyembe watu wakaanza tena kulaumu kwa kupotezea rafiki zake ( Lowassa na Rostam) na akaanza kuandamwa kwa kuwabeba sitta na Mwakyembe
 
Back
Top Bottom