Muvi Mpya

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
Nadhani siku hiszi vijana wetu wanajitahidisana katika tasnia ya filamu tena wanakuwa very creative lakini wasiwasi wangu kwa filamu inayokuja kutoka kwa Vicent Kigosi aka Ray haitaspark upya watu wa upande huu wa dini manake nakumbuka sakata la filamu ya TALAKA TATU.

DSC00139.JPG


DSC00132.JPG


DSC00144.JPG
 
Inabidi aigize awe na tabia nzuri mwanzo mpk mwisho wa filamu akifanya vingine hawachelewi tishia Albadili :suspicious::suspicious::suspicious:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom