Muuza sigara nisiye vuta sigara

Muuza sigara nisiye vuta sigara

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
267
Abari za siku wote?

Karibuni wote wenye kufanya biashara/kazi, ambazo azina mchango kwenye maisha yetu.

Mimi nikianza kabla ya yote nimekua architect engineer kwa mwaka wa pili sasa kwenye kampuni flani ila mpaka sasa bado naishi nyumba zakupanga

Ninakomaa ila pia nikaja kutana na rafiki yangu sana ambae amekua akiniuzia samaki na mafuta ya samaki kwa garama nafuu,,,, cha kustaajabisha nikua yeye anayo allergy na samaki hali kabisa samaki bora alale njaa🤔,,,,

Niliwai muuliza kwa nini hauli samaki akunijibu direct ila yeye pia akazidi niongezea mshangao kua, anaye rafiki yakewalisoma nae zamani kua,

Rafiki yake kasoma umeme veta ila anaishi nyumba isiyo na umeme mpaka sasa 🤔

Sasa kwa mpaka sasa nimekuja jua kumbe kuna watu hawa

-watu wanaofanya kazi ambao awajazifanyia kazi kwao
Mfn,,, accountant asiye na account ya benk!!

Karibu tushare kazi ambayo umefanha au uliwai kuifanya ambayo haikuwai kua na mchango maishani kwako,, ambayo umeifanya kwa manufaa ya wengine........

Eid-ul-Fitr
 
Mkuu umetumia kilevi gani Leo?
Abari za siku wote?

Karibuni wote wenye kufanya biashara/kazi, ambazo azina mchango kwenye maisha yetu.

Mimi nikianza kabla ya yote nimekua architect engineer kwa mwaka wa pili sasa kwenye kampuni flani ila mpaka sasa bado naishi nyumba zakupanga

Ninakomaa ila pia nikaja kutana na rafiki yangu sana ambae amekua akiniuzia samaki na mafuta ya samaki kwa garama nafuu,,,, cha kustaajabisha nikua yeye anayo allergy na samaki hali kabisa samaki bora alale njaa,,,,

Niliwai muuliza kwa nini hauli samaki akunijibu direct ila yeye pia akazidi niongezea mshangao kua, anaye rafiki yakewalisoma nae zamani kua,

Rafiki yake kasoma umeme veta ila anaishi nyumba isiyo na umeme mpaka sasa

Sasa kwa mpaka sasa nimekuja jua kumbe kuna watu hawa

-watu wanaofanya kazi ambao awajazifanyia kazi kwao
Mfn,,, accountant asiye na account ya benk!!

Karibu tushare kazi ambayo umefanha au uliwai kuifanya ambayo haikuwai kua na mchango maishani kwako,, ambayo umeifanya kwa manufaa ya wengine........

Eid-ul-Fitr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila Mason anamiliki nyumba, na sio kila fundi magari lazima amiliki gari
 
Madalali wengi ndo zao unakuta...

Dalali wa gari hana gari
Mwenye gari hajui kuendesha
Mwenye mpangaji yeye kapanga
Dalali wa nyumba hana nyumba
Mwuza nyama hali
 
Madalali wengi ndo zao unakuta...

Dalali wa gari hana gari
Mwenye gari hajui kuendesha
Mwenye mpangaji yeye kapanga
Dalali wa nyumba hana nyumba
Mwuza nyama hali
Mtengeneza pete hana ndoa
 
Mtu anauza dawa ya kupunguza kitambi wakati yeye mwenyewe ana tumbo kubwa mpaka anahema kwa shida na bado anapata wateja
 
Back
Top Bottom