Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,380
Tatizo ni promo.Gari kumi kwa siku huo ni uongo mkubwa
Hata Promo hajui,Tatizo ni promo.
Chawa kaziniHata Promo hajui,
Usikute unambishia mkewe!Gari kumi kwa siku huo ni uongo mkubwa
Kazi ni kipimo cha utu.Usikute unambishia mkewe!
Siyo kweli, anachokifanya Chris sasa hivi Mimi nilikuwa na plan nacho miaka 15 iliyopita ingawa Mimi sikutaka kuleta magari Bali some parts.Maadui sio hao wafanya biashara wa hapa tanzania tu hata wajapan wenyewe wanaweza kuwa maadui zake,hizi gari za Uk zikishakuwa nyingi watu wanaweza kubadili upepo na kuhamia gari za UK,ni gari ngumu,nzuri na swala la ulaji wa mafuta sio kivile,biashara ya magari yanapokuwa mengi maana yake spea nazo zitakuwa nyingi,kwahiyo automatically zitashuka bei...
Gari 10 Kwa siku=100 Kwa mwezi? Hesabu za wapi hizi?Gari kumi kwa siku huo ni uongo mkubwa
Kafungua watu akili hawezi kubaki kama monopoly wengi waleta hizo damping mda sio mrefu, yeye kinachombeba ni waminifu na kua na fair game, kitu ambacho wa bongo wengi hawana....kwa hilo ataendelea kupiga pesa ila mimi simuoni miaka mitano injao na muona katika bunge la CCMSiyo kweli, anachokifanya Chris sasa hivi Mimi nilikuwa na plan nacho miaka 15 iliyopita ingawa Mimi sikutaka kuleta magari Bali some parts.
Chris si kwamba anadeal na magari kama ndio main business yake, Bali anadeal na mazagazaga mengi ambayo kwa Tanzania bado demand yake ni kubwa na madukani bei iko juu.
Kuna vitu vingine ulaya ni vya kuokota tu wala ununuwi watu hawana pa kutupa sasa wewe ndio unakuwa cleaner wao.
Nilikwama hii project kwa sababu ambazo zilkkuwa nje ya uwezo wangu lakini kwa sasa wakati ni ukuta Niko na mambo mengine, kila jambo na wakati wake.
Chris atapiga sana pesa kwenye hii project kwa sababu an meet demand za watu, na inabidi ajitahidi awe na branch Arusha na Mwanza sasa hapa ndio shida inapokuwepo either ufirisike au uwin mazima.
Sijajua kwanini umesema sio kweli,najua kwamba Chriss ana deal na mazagazaga,ila nimeongelea kwa upande wa magari,hizo Landrovers,Range rovers,BMW na hizo Mini cooper,zimeshakuwa nyingi hata mitaani...Siyo kweli, anachokifanya Chris sasa hivi Mimi nilikuwa na plan nacho miaka 15 iliyopita ingawa Mimi sikutaka kuleta magari Bali some parts.
Chris si kwamba anadeal na magari kama ndio main business yake, Bali anadeal na mazagazaga mengi ambayo kwa Tanzania bado demand yake ni kubwa na madukani bei iko juu.
Kuna vitu vingine ulaya ni vya kuokota tu wala ununuwi watu hawana pa kutupa sasa wewe ndio unakuwa cleaner wao.
Nilikwama hii project kwa sababu ambazo zilkkuwa nje ya uwezo wangu lakini kwa sasa wakati ni ukuta Niko na mambo mengine, kila jambo na wakati wake.
Chris atapiga sana pesa kwenye hii project kwa sababu an meet demand za watu, na inabidi ajitahidi awe na branch Arusha na Mwanza sasa hapa ndio shida inapokuwepo either ufirisike au uwin mazima.
Itabidi akane uraia wa uingerezaKafungua watu akili hawezi kubaki kama monopoly wengi waleta hizo damping mda sio mrefu, yeye kinachombeba ni waminifu na kua na fair game, kitu ambacho wa bongo wengi hawana....kwa hilo ataendelea kupiga pesa ila mimi simuoni miaka mitano injao na muona katika bunge la CCM