Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 32,524
- 34,401
Kumaliza sintofahamu, akutanishwe yeye na komandoo au mama lishe aseme kama kweli alikuwa kwakeMwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani