Muuza Machungwa

Muuza Machungwa

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
mm.jpg
 
BONGO MUVI VILEE..HAPO ETI BINTI KATOKA KIJIJINI KAANZA KUUZA MACHUNGWA APATE HELA YA KUJIKIMU.
 
Hii inaweza kua Nigeria!!! Wazee wabunifu saana kwenye biashara!!! Na ukute hapo mdada ana degree yake na kufanya hivyo anavutia wanaotaka kuajili wachapakazi na wanaothamini kazi zao. Kuna mkaka alikua anauza vinywaji barabarani huku katinga suti na tai na kiatu... Ndo alipopata kazi na kwenda moja kwa moja kua meneja
 
Hapo inawezekana ukapata machungwa na vingine pia ubunifu mzuri huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom