Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Nov 24, 2011 #1 Jamaa huyu muuza kuku huko Singida amekuja na staili ya kivyake!
Ms Judith JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 2,563 Reaction score 932 Nov 24, 2011 #2 jamani jamani, hiii haikuwemo kwenye maajabu mapya saba ya dunia??????
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 24, 2011 #3 Hivi si tulishapitisha sheria ya haki za wanyama?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Nov 24, 2011 #4 angejifunga hadi kichwani
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,648 Nov 24, 2011 #5 chatumkali said: Hivi si tulishapitisha sheria ya haki za wanyama? Click to expand... Kama haki za binadamu ziko kwenye mashaka, utaulizaje habari ya haki za wanyama???
chatumkali said: Hivi si tulishapitisha sheria ya haki za wanyama? Click to expand... Kama haki za binadamu ziko kwenye mashaka, utaulizaje habari ya haki za wanyama???
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Nov 24, 2011 #6 Wahusika wa haki za wanyama, kuku na bata pelekeni hii njemba mahakamani, alaaaa
tama JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 602 Reaction score 71 Nov 24, 2011 #7 Maisha kweli kila mtu anatafuta atoke vipi,ila hao kuku anawanyanyasa bora angewaweka kwenye tenga.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Nov 24, 2011 #8 Miss Judith said: jamani jamani, hiii haikuwemo kwenye maajabu mapya saba ya dunia?????? Click to expand... hayo ni ya kweli na mimi mwenyewe nilishahakikisha kwenye minada ya arusha.
Miss Judith said: jamani jamani, hiii haikuwemo kwenye maajabu mapya saba ya dunia?????? Click to expand... hayo ni ya kweli na mimi mwenyewe nilishahakikisha kwenye minada ya arusha.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,549 Reaction score 21,676 Nov 24, 2011 #9 chatumkali said: Hivi si tulishapitisha sheria ya haki za wanyama? Click to expand... sheria inasema adhabu yake ni faini ya hapo hapo ya sh 5000 au akishindwa kulipa anaweza kuhukumiwa kwenda jela hadi miezi sita
chatumkali said: Hivi si tulishapitisha sheria ya haki za wanyama? Click to expand... sheria inasema adhabu yake ni faini ya hapo hapo ya sh 5000 au akishindwa kulipa anaweza kuhukumiwa kwenda jela hadi miezi sita
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,390 Nov 24, 2011 #10 Mh.....:eyebrows:
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Nov 25, 2011 Thread starter #11 mikatabafeki said: angejifunga hadi kichwani Click to expand... Ha ha ha ha! Nadhani anaogopa hao kuku watamdony'oa macho ikiwa atawaning'iniza kichwani. Hiyo itakuwa hatari manaake anaweza kusababisha ajali na kuharibu biashara yote!
mikatabafeki said: angejifunga hadi kichwani Click to expand... Ha ha ha ha! Nadhani anaogopa hao kuku watamdony'oa macho ikiwa atawaning'iniza kichwani. Hiyo itakuwa hatari manaake anaweza kusababisha ajali na kuharibu biashara yote!
Tajy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 298 Reaction score 24 Nov 25, 2011 #12 ziko wapi haki za wanyama?
Tausi. Senior Member Joined Aug 29, 2011 Posts 123 Reaction score 48 Nov 25, 2011 #13 Mpaka kufika anakoenda, atakuta wamekufa kuku kama 50, ambayo ndio faida yenyewe.
Z zayat JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 337 Reaction score 42 Nov 25, 2011 #14 wano husika na ukatili wa wanyama wako wapi ?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Nov 25, 2011 #15 Miss Judith said: jamani jamani, hiii haikuwemo kwenye maajabu mapya saba ya dunia?????? Click to expand... yeye hakuwemi, ila baba yake kashinda tuzo ya mtu wa ajabu duniani
Miss Judith said: jamani jamani, hiii haikuwemo kwenye maajabu mapya saba ya dunia?????? Click to expand... yeye hakuwemi, ila baba yake kashinda tuzo ya mtu wa ajabu duniani
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,677 Reaction score 59,175 Nov 25, 2011 #16 nihurumie nihurumie...naumia naumia.(JOGOO AWIKA). mia
Rungu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 3,932 Reaction score 1,727 Nov 25, 2011 #17 Hapo kuku akikosea tu akaingiza shingo kwenye spoku anakatwa mara moja!
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,125 Nov 25, 2011 #18 Askari Kanzu said: Jamaa huyu muuza kuku huko Singida amekuja na staili ya kivyake! View attachment 42037 Click to expand... Siku hizi kila kiumbe kinavunja haki za msingi za viumbe vingine ili kiweze kuishi.
Askari Kanzu said: Jamaa huyu muuza kuku huko Singida amekuja na staili ya kivyake! View attachment 42037 Click to expand... Siku hizi kila kiumbe kinavunja haki za msingi za viumbe vingine ili kiweze kuishi.
fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,042 Reaction score 2,235 Nov 25, 2011 #19 hivi hao kuku wakiamua watoe haja kubwa kwa pamoja,huyu jamaa atakuwaje?
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,310 Nov 25, 2011 #20 Ukatili kwa wanyama