Muuza Karanga na Suti Yake

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
Kutana na Isa Kebbi- muuza karanga jijini Abuja, Nigeria ambaye huvaa suti akiwa kazini. Amemwambia mwandishi wa BBC kuwa hununua gunia moja la karanga kwa mkopo kila mwezi na hupata faida ya takriban dola 19.

12743814_705708312899967_8364049744513129542_n.jpg
 
kama ni kweli aachane na hiyo biashara, anapoteza muda wake tu
 
Mbona anaishi Kama anapoteza muda kwendraaaaaa
ndio akili zenu zinapoishia,mnachoangalia ni kuishi tu... "alimradi mkono uende kinywani"
kutumia akili ni jambo gumu sana kwenu,.... mtaishia hivyo hivyo
 
ndio akili zenu zinapoishia,mnachoangalia ni kuishi tu... "alimradi mkono uende kinywani"
kutumia akili ni jambo gumu sana kwenu,.... mtaishia hivyo hivyo
Tatizo lako hutaki kupingwa, pole, kumbe tunaishi ili nini? Tuteseke njaa
 
Back
Top Bottom