Nina mdogo wangu yupo iringa mjini amesomea mambo hayo na yupo iringaHabari, kama mada hapo juu, muuza duka la dawa muhimu anahitajika , awe anapatikana mkoa wa Iringa eneo la Isimani.
Aliyetayari na yupo eneo hilo anifuate PM.
Asante
Nina mdogo wangu yupo iringa mjini amesomea mambo hayo na yupo iringa.Muuza dawa muhimu za binadamu aliyeko dar anaitajika
Ni PM kama upo tyr
Mi niko tayar mkuuMuuza dawa muhimu za binadamu aliyeko dar anaitajika
Ni PM kama upo tyr
Mbona umechelewa sawa.tangu 2018Mimi Niko tiyari 0746688860
Aliishapatikana..Kweli nimechelewa b,cose nilikuwa bado sjawa na Addo chief.