U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Jul 18, 2011 #1 Mkaanga chips kaniacha hoi,kapasua yai la kwanza hamna kitu,la pili hamna kitu, la tatu hola akasema 'hii programu ya Ukimwi imefanikiwa mpaka kuku wa kienyeji wanatumia condom'
Mkaanga chips kaniacha hoi,kapasua yai la kwanza hamna kitu,la pili hamna kitu, la tatu hola akasema 'hii programu ya Ukimwi imefanikiwa mpaka kuku wa kienyeji wanatumia condom'
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Jul 18, 2011 #2 ....ya kichina hayoooo