Napendekeza serikali moja katika tatu kama ifuatvyo:
Rais wa jamuhuri ya muungano awe na makamu wawili ambao ni Rais wa zanzibar na makamu wa kwanza wa Rais wa jamuhuri ya muungano, Rais wa Tanganyika na makamu wa pili wa Rais wa jamuhuri ya muungano, Rais wa Zanzibar na makamu wa kwanza wa Rais aendelee kuchaguliwa kama ilivyo sasa. Lakini Rais wa Tanganyika na makamu wa pili wa Rais wa jamuhuri ya muungano atapatikana kama ifuatavyo:-
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ateuwe majina mawili toka vyama viwili vitakavyokua vimepata ushindi wa kwanza na wa pili katika uchaguzi mkuu, majina hayo yapelekwe bungeni ili kupigiwa kura ya siri na wabunge wa Tanganyika (Tanzania bara), Mshindi ndiye atakae kua Rais wa Tanganyika na makamu wa pili wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Rais wa tanganyika ndiye atakua mtendaji mkuu wa serikali ya Tanganyika na atashirikiana na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuunda Baraza la mawaziri 15 wa Tanganyika hivyo kwa nafasi yake cheo cha waziri mkuu kifutwe, Rais wa Jamuuri wa Muungano atateuwa mawaziri watatu toka pande yeyote ya Muungano, kwa wizara zinazoshughurikia muungano ambazo ni wizara ya mambo ya ndani, wizara ya ulinzi na wizara ya mambo ya nje.
Kwa hoja hii gharama za uchaguzi zitakua zimepungua na TANGANYIKA yetu itakua Hai TENA.