Muungwana Safarini Tena!

Duh jamaa kwa misele simuwezi.
Hivi kuna mwenye dataz gharama za route moja mungwana akitoka ni kiasi gani walipa kodi wanamlipia? Yawezekana ndo rais wa kwanza Afrika anaye piga misele nchi mbali mbali hapa duniani.

Hivi Mkulu amemaliza matibabu yake US?? Nayaona yale ya Nigeria na Umar Musa Yar'Adua.... Dr Shein inabidi akae mkao wa kula 2011 urais huo hata wa kukaimu tuu...
 
Hapo labda anakwenda kumuinvate Obama to increase his popularity.
 
. The Media is also letting us down for not reporting why does he have to travel to US everytime and what exactly is Mr President doing in his US visits.

Bado tunamsubiri Membe aliyeahidi kuwa atatufahamisha faida za safari za JK
 
Awe na safari njema na arudi salama isije patikana sababu uchaguzi ukaahirishwa kama alivyotabiri shehe YH! Teh teh
 
aaaaagaah labda kaenda kutafuta new suits for Campaign ya mwaka huu....!,
kupenda kufanana na kumuiga President Obama..!
this time sina hakika kama watapenda tena kuvaa greens zao... 50 billions Tsh plus..!! sio mchezo katika campaign kw nchi yetu maskini!
 
Naona anapenda sana kupanda ndege

Ha ha haaaaaaaaaaaa - naona alipania kuwa siku bahati ikujitokeza....... ndege zitamkoma - na ndio wakati wake

mimi nilidhani angefanya ziara Tanzania nzima tena kwa kutumia gari aone barabara zilivyoharibika na wananchi wake wanavyopata shida ya usafiri, jinsi mazao yanavyoshindikana kusafirishwa kutoka mkoa mmoja hadi mwingine..... ama kweli Rais tumempata - naona mke wake ndio busy na safari za ndani - yeye busy na za nje - .......................... haya tutajakusimulia wajukuu zetu mambo haya!!!!!
 
maandlizi ya kampeni hayo ushindi wa tsunami hauji kwa ziara za ndani pia za nje ni muhimu sana
 
Hivi ile Safari yake ya kwenda mkoa wa MBEYA wiki iliopita alienda ama ? mwenye taarifa anijuze hapa hadharani.
 
Sio kwetu tu ona wenzetu:



Zambian opposition leaders have widely criticised President Rupiah Banda over his frequent international trips.

Since his accession to the Presidency a year and five months ago, President Banda has travelled abroad on over 30 occasions, attracting outrage from his political opponents and influential civil society organisations.

Leader of the United Party for National Development (UPND), the second largest opposition party, Mr Hakainde Hichilema described President Banda as “Mr Holiday” for regularly undertaking international trips.

“He (President Banda) is just excited about travelling. He is a man who likes to be happy all the time when his citizens are suffering,” said Mr Hichilema. President Banda’s archrival Mr Michael Sata, leader of the main opposition party the Patriotic Front (PF), condemned the head of state’s trips, which he said were being undertaken when Zambians were living in abject poverty.

A former finance minister Ms Edith Nawakwi advised President Banda to be sending envoys to certain international assignments to avoid extravagant expenditure of public funds.

President Banda, who just returned from a 10-day state visit to China on March 5 after which travelled to Malawi and Namibia, defended his foreign trips.

President Banda told state news agency ZANIS that people attacking him over his visits to other countries were doing so out of ignorance.
President Banda said his meetings with other heads of state were important in maintaining good neighbourliness and exploring new avenues for trade.


source:dailynationonline
 
si nyie wenyewe mmempa cheo cha u-vasco da gama?lazima mkwere akitumie vizuri ati:rolleyes:.
 
- According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Muungwana atakuwa njiani kuelekea US taarifa zaidi baadaye!

Respect.

FMEs!

kalubandika ..kala miguu ya kuku...majirani wataanza kufunga milango kwa kuonea huruma pesa zetu...kila safari ya rais nje ya bara afrika inagharimu takribani dola milioni moja...minium..kutegemea na atakaa siku ngapi.....
 
inasikitisha sana, mhesh jitahidi sana kusikiliza ya wananchi. umekuwa waz wa mambo ya nje miaka kumi na umesafiri sana kalibia dunia nzima. hujachoka tu? mwachie membe sasa.
 
Kodi zetu zinaishia kulipia gharama hizi za usafiri wa hawa jamaa hasa muungwana. ni kweli ukipiga hesabu tangu aingie mjengoni ni kiasi gani katumia katika safari na wapambe wake unaweza kupata pressure
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom