Chanzo hicho chenye heshima na ambacho ni muhimu katika mustakabali wa taifa kilithibitisha pia kuwa Rais mstaafu Mkapa alikwishamuonyaJK kuwa asimpoteze Magufuli kisiasa kwani atamsaidia sana kurudisha imani iliyopungua ya wananchi kuhusu matarajio waliyokuwa nayo kwa JK kabla hajawa Rais
Wakuu mwenye macho haambiwi tazama,kama mnategemea habari mpaka mletewe na mwakakijiji ndiyo muamini,haya!
Habari ndiyo hiyo wakuu,nitazidi kuzileta kwa kadiri ninavyozipata.
Mheshimiwa,umelenga kuchekesha jukwaa au unauhakika na uyasemayo?
Kwani Obama ameomba uraia wa Tanzania? Au Muungwana ataenda kumwomba awe raia wa Nchi yetu?
Usitake kuniambia Mkuu huenda huko kumwomba mheshimiwa Akishindwa aje hapa.A little bit inafurahisha
Wakuu mwenye macho haambiwi tazama,kama mnategemea habari mpaka mletewe na mwakakijiji ndiyo muamini,haya!
Habari ndiyo hiyo wakuu,nitazidi kuzileta kwa kadiri ninavyozipata.