Muungurumo wa Engine

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Habari zenu wakubwa?

Nimejaribu kutafakari sana lakini mwisho wa siku nimekoswa majibu na hii ni kutokana na uelewa wangu Kuwa mdogo kwa maana kwamba Mimi sio mtaalamu wa mambo Haya.

Swali lenyewe ni Kuwa:
Je, ni nini kinachotofautisha mlio wa Engine moja na ingine?

Angalizo: kama hujui usichangie!!!

skype: alfred.kohi
 
La kwanza kabisa ni aina ya fuel inayotumika petrol, diesel ama gas/umeme. Diesel sauti yake ni nzito kwa sababu compression yake ni kubwa na ni nzito wkati wa cumbaschen

Sababu ingine ya utofauti wa sauti ni ukubwa wa engine. Gari zenye cc kubwa more noisy

Sababu ingine ni uwezo wa manfold na exhaust system kuabsorb sound
 
Mlio wa injini kwa kiasi kikubwa unatofautishwa na muundo wa manifold, hii ni kwa zote, maana yake inlet na outlet manifold. Mgurumo au sauti ya injini inatokana na mtikisiko (vibration) wa hewa inayonyonywa na ile inayotolewa. Ndio maana unapokuja kwenye gari kwa ujumla wake kiasi kikubwa ni kuwa mlio unatokana na outlet manifold pamoja na mpangilio wa muffler.

Kuna msemo unaosema "more power, more noise" hapo zamani ingawa kwa magari ya kisasa kuna mpangilio wa muffler unaotoa karibu na zero noise. Mfano Toyota X series 2010 models
 
ni exhaust mufler!!! nothing more!!!
 
ni sawa, ila magari mengine yana 'turbo' nayo pia hutoa mlio, tena mzuri sana. Mabasi aina ya scania turbo husikika sana na pia landrover defender.
 
ni sawa, ila magari mengine yana 'turbo' nayo pia hutoa mlio, tena mzuri sana. Mabasi aina ya scania turbo husikika sana na pia landrover defender.
 
ni sawa, ila magari mengine yana 'turbo' nayo pia hutoa mlio, tena mzuri sana. Mabasi aina ya scania turbo husikika sana na pia landrover defender.

Kama ulinielewa hapo juu niligusia kuwa mlio unatokana na inlet manifold (air cleaner, turbo etc) ambazo huingiza hewa kwenye injini na outlet manifold (exhaust). Ila kwa injini nyingi outlet ndio huwa inasikika zaidi.
 
Ni vyema kuwa binaadamu ni chombo kinachoeza kupata nguvu (energy) za kujiendesha kwa kutumia vyanzo (vyakula) tofauti, kwa kuwa teknolojia yetu inazidi kukuwa na vyombo tuviundavyo vinatumia kila aina ya vyanzo (vyakula) vya kuipa nguvu (energy) ya kujiendesha, kwa sasa kuna engine za mafuta kama petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta mazito, gesi na tafiti mbali mbali zinaendelea kupata vyanzo vingine vya ubora na rahisi zaidi kama maji, nyuklia, na hata viazi ulaya na nyanya.

Kwa hayo, nakuomba ujaribu siku moja, "engine yako" utumie aina fulani ya chakula kama chipsi mayai "zege" kwa siku tatu mfululizo halafu usikilize mlio wake na fumes zake. Na siku nyingine jaribu siku tatu kula njugu mawe halafu uone mlio wa mashine yako. Nna uhakika utapata jibu maridhawa kabisa.

Kumbuka Engine tofauti zina milio tofauti na harufu tofauti pia huko zinakotolea hiyo milio.

Sikiliza hii mili ya engine tofauti:

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Car Engine Sounds [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] a) 2.16 seconds long Car cranks and drives off WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] b) 2.40 seconds long Motor just won't start WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] c) 2.90 seconds long Engine start-up WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] d) 3.52 seconds long Fast car being pursued WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] e) 4.97 seconds long Fast car at idle WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] f) 4.99 seconds long One hot VW bug WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] g) 5.08 seconds long VW pulls away fast WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] h) 5.94 seconds long Car with a glass-pack muffler WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] i) 7.32 seconds long More sounds of a car with a glass-pack muffler WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] j) 5.97 seconds long A very hot little Honda roars away WAV file [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] k) 7.66 seconds long Heavy running V8 pulls away WAV file [/FONT]


[TABLE="width: 80%"]
[TR]
[TD="width: 50%"]Blow raspberry - Person making fart sound with lips[/TD]
[TD="width: 50%"]Long Fart WAV - With push at the end[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]Fart 1 - Basic, silly fart.[/TD]
[TD="width: 50%"]Pushy fart in stages (MP3)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]Fart 2 - A little bit higher pitched fart.[/TD]
[TD="width: 50%"]Quick sudden fart MP3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]Raspberry fart - Big fart expulsion[/TD]
[TD="width: 50%"]Whoopie Cushion fart sound - WAV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]Big fart with lots of air (WAV)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Zaidi ya michango ya wenzangu, kuna uwezekano pia wa idadi ya mapanga ya feni ikaleta muunguromo/sauti tofauti, wakati mwingine ikiwa injini ina timing chain au belt, arrangement ya tapets, mfumo wa injectors (electronic au mechanical), water jackets, arrangement ya engine cylinders (inline au V shape), idadi ya cylinders (siyo ukubwa wa engine) etc!
 
Asanteni kwa majibu yenu naona tumeanza vizuri na walau naanza kupata mwangaza Ila ambacho hamujakielezea ni tofauti za muungurumo mf: nissan safari na leyland CD n.k
 
Asanteni kwa majibu yenu naona tumeanza vizuri na walau naanza kupata mwangaza Ila ambacho hamujakielezea ni tofauti za muungurumo mf: nissan safari na leyland CD n.k

Kwenye post zangu nilikuwa nasisitiza exhaust system kwa kuwa ninao mfano hai. Kuna Toyota Hilux 2.8 D imebadilishwa injini kutoka ya diesel na kuwa petrol lakini mlio ni uleule sasa unadhani sababu itakuwa ni nini?

Hiyo ya nissan na leyland ni aina ya manifold na urefu na namba ya mufflers.
 
Engine gani inayouliziwa hapa???maana zipo engine aina nyingi,za gari na ................??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…