Mandela5599
Member
- Jul 28, 2020
- 94
- 314
Well said, wabunge 15 niwengi sanaHata Bunge lenyewe lina wabunge wengi ambao hawana faida.Jimbo kama la Tanga lilitakiwa liwe na wabunge 5 tu.
Uchumi wetu wenyewe wa kudidimia lakini tuna wabunge wengi kama nzige wasio kuwa na faida
Zanzibar ni koloni la Bara, amini usiamini, na tutaendekea kulikalia koloni hili ,mpaka siku wazanziabari wakijitambua.Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote
Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina wabunge 15, kati yao wakuchaguliwa nu 13 na 2 wa viti maalumu
Zanzibar ina Rais wake, Tanganyika haina
Wana bunge lao, Tanganyika haina
Mtu wao anaweza kuwa Rais huku Tanganyika lakini haitakaa itokee mtanganyika akaitawalaZanzibar
Tanganyika inapitia wakati mgumu sana
Nipeni nchi halafu muone! Ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wangu nikiwa kama Rais, nitawapa hao Wazanzibari ultimatum moja tu;Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote
Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina wabunge 15, kati yao wakuchaguliwa nu 13 na 2 wa viti maalumu
Zanzibar ina Rais wake, Tanganyika haina
Wana bunge lao, Tanganyika haina
Mtu wao anaweza kuwa Rais huku Tanganyika lakini haitakaa itokee mtanganyika akaitawalaZanzibar
Tanganyika inapitia wakati mgumu sana
Acha kujipa moyo Comrade! Zanzibar ni Kupe tu kwa Tanganyika. Ingekuwa ni Koloni letu, basi Tanganyika ingenufaika kwa kupata malighafi, nk. za kuendeleza uchumi wake. Ila ukija kwenue uhalisia, mambo ni tofauti kabisa.Zanzibar ni koloni la Bara, amini usiamini, na tutaendekea kulikalia koloni hili ,mpaka siku wazanziabari wakijitambua.
Kuhusu Rais ni Dr Hussein Mwinyi, anatawala Zanzibar, alikuwa waziri wa Ulinzi kabla ya kuwa Rais, akipitia jimbo la Tanzania bara, kwahiyo nakuktalia uliposema mtu wa bara hawezi kuwa Rais Zanzibar.
Babake Ali Hassan Mwinyi, ni Mtu wa Mkuranga Tanzania Bara huo ndio Ukweli.
Marais wote wa Zanzibar wanawekwa na Bara na kuondolewa na Bara.
Abdu Jumbe Mwinyi nalikuwa Rais wa Zanzibar lakini kutoka Bara, na hata alipoondolewa nakutano wa Dodoma, aliishi KIGAMBONI kwa mbele KIDOGO!!
Miradi karibu yote ulioorodhesha ni PPP sio pesa za kodi. Soma kabla ya kuongeaHuyu mama anaiba fedha toka Tanganyika kufanya kufuru Zanzibar
1. Majengo ya zahanati, misikiti, shule za msingi na sekondari yote yanabamolewa na kujengwa maghorofa.
2. Vibarabara vyao vingi pale Unguja vinajengewa flyovers.
3. Bandari kubwa sana inajengwa Magapwani.
4. Uwanja wa ndege wa kisasa umejengwa Unguja na kuwekewa miundombinu na vifaa vya kisasa..
5. Anabeba wanyama na kuwapeleka Kizimkazi ambako anaanzisha zoo.
UWT waje Jf watoe majibu!Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote
Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina wabunge 15, kati yao wakuchaguliwa nu 13 na 2 wa viti maalumu
Zanzibar ina Rais wake, Tanganyika haina
Wana bunge lao, Tanganyika haina
Mtu wao anaweza kuwa Rais huku Tanganyika lakini haitakaa itokee mtanganyika akaitawalaZanzibar
Tanganyika inapitia wakati mgumu sana
Unahitajika upatiwe elimu kuhusu huu Muungano wetu adhimu na adimu Mwalimu mkuu wa kwanza ni huyuTanganyika inapitia wakati mgumu sana
Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote
Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina wabunge 15, kati yao wakuchaguliwa nu 13 na 2 wa viti maalumu
Zanzibar ina Rais wake, Tanganyika haina
Wana bunge lao, Tanganyika haina
Mtu wao anaweza kuwa Rais huku Tanganyika lakini haitakaa itokee mtanganyika akaitawalaZanzibar
Tanganyika inapitia wakati mgumu sana
Kakojowe ukalaleTuvunje muungano na kuunda serikali moja ya Tanganyika. Wakibisha watu wa visiwani inabidi tuwatawale kibabe kama vile hamas na islaer
Inakuwaje mnakuja kuuwa watu wakati wa uchaguzi kulazimisha kuwaweka vibaraka wenu ? Au ndiyo mnapenda kujibebesha Huo mzigo?Acha kujipa moyo Comrade! Zanzibar ni Kupe tu kwa Tanganyika. Ingekuwa ni Koloni letu, basi Tanganyika ingenufaika kwa kupata malighafi, nk. za kuendeleza uchumi wake. Ila ukija kwenue uhalisia, mambo ni tofauti kabisa.
Zanzibari kwa Tanganyika, ni mzigo tu kutokana na uwepo wa Muungano usio na usawa. Kiufupi tuna Muungano wa changu changu, chako changu. Wazanzibari ndiyo wanufaika wakuu wa huu Muungano.