Muungano ukivunjika

NJAA NDIO INAYOKUPONZA MAKALIO NDIO INAYOKUFANYA UMTUMIKIE MZEE WA KANISA PENGO ???
Keisha kabsa mbende mbende..nashukuru Leo hukwenda msikitini [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
NDIVYO UNAVYOMSIFIA KARDINALI WAKO NAMNA HIVI ????

umepatia ust wewe kisilamu silamu ni Dr of divinity [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
Duuh sasa nani mbaguzi hapo misimamo yako km ya pw boter wa kule south
 
Hayana akili hayo...ukivunjika muungano unguja itakuwa nchi na pemba itakuwa nchi kwa kuwa mipemba inajiona Bora zaidi kuliko wakaazi wa unguja...kisa kufuga majini...
Mmhh kuna kitu wamekufanya kwa povu ilo c bure any way liwalo na liwe mpemba muunguja sijui mtumbatu hiyo ni mipasho tu zanzibar kwanza muungano mwisho chumbe
 
Ndugu yangu huu ni kuuvunja tu ati muungano huu ni ukoloni bhana hilo jina muungano ni heshima tu sijui mpemba sijui muunguja ati mtumbatu hiyo ni mipasho tu ni kuuvunja tu hatuna namna kwa sasa shenzy tait tumechoka sie hii mitanganyika imeun'gan'gania na wala haisikii chochote ati kuboresha mlikua wapi mda wote uo ni kugawana tu pumbav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…