Muungano kufa na CCM mazishi kuanza kesho

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, lilelilo tabiriwa kuwa mke mwema mtu hupewa na BWANA na si vinginevyo, sasa wazanzibar wamegundua hawahitaji tena ndoa hiyo bali kujitegemea na kuolewa OIC kuendelea kula raha zao.

Zanzibar tutawakumbuka sana katika kutuletea mabadiliko bara, DUA za MWL nyerere zimefika, asanteni sana na CCM marufuku kutumia jina la TANU au TAA.

jiiteni labda CCJ

Hivi punde:

Maandamano polisi wakataa kibali tegemea kesho kichapo zanzibar
 
Utakufa na kijeba cha roho, Muungano ni zaidi ya ndoa ya Kikatoliki!, utadumu milele!.


mkuu sijakusoma ukimbaka mwanamke,msichana akizaa mtoto wewe ndobaba wa huyo mtoto pamja nawewe kuwa ndobaba wa huyo mutoto mama hawezi kuwa mkee
 
kumbe ndio kesho kina ami jei wanataka uunguja na upemba wao bwana waacheni waende zao..
 
mkuu sijakusoma ukimbaka mwanamke,msichana akizaa mtoto wewe ndobaba wa huyo mtoto pamja nawewe kuwa ndobaba wa huyo mutoto mama hawezi kuwa mkee

mkuu nimekupata tena zanzibar sio msichana alibakwa akhwa mtoto ila kutokana na tabia aliwahi kuvunja ungo. nashangaa bara tunaendelea kung'ang'ania kwa starehe gani tunayoipata? zaidi ya kupoteza resourse zetu ili kumfunga mdomo asiseme. teo merk sadiki kawa msemaji wa tanesco kasema zanzbari watapata umeme ila watanzania wa mikoa takribani 18 no umeme. pole yetu
 
Utakufa na kijeba cha roho, Muungano ni zaidi ya ndoa ya Kikatoliki!, utadumu milele!.

Hahahahahaaaaa...........................!!! No wonder sheria ya ndoa ya TZ inasema ukiishi na mwanamke miaka 2 ni mkeo hata kama hujamuoa!!! Tanganyika na Zanzibar tumeishi kama miaka 46 sasa.Naona kweli hapo hakuna kuachana!!!
 
mkuu sijakusoma ukimbaka mwanamke,msichana akizaa mtoto wewe ndobaba wa huyo mtoto pamja nawewe kuwa ndobaba wa huyo mutoto mama hawezi kuwa mkee
Ni kweli ukimbaka msichana akakuzalia mwana, wa kwako ni mtoto tuu huyo mama yake si mkeo, ila inapotokea huyu mwanamke hajaolewa tena, then wewe ndie baba mtoto wake mpaka apate bwana mwengine ailewe!.

Nakushauri ndugu yangu mfia kicheko, mambo ya muungano yawache hivyo hivyo yalivyo ujiendelea kuyachokoa kuwa mwangalifu sana, usije ukajikuta jina lakolinageuka toka mfia kicheko mpaka mfia kilio!.
 
Tusitunge jina la mtoto kabla hajazaliwa au tusikinge ngumi kabla haijarushwa. Tusubirie hiyo kesho tuone itakuaje
 
Watanganyika hatutaki muungano,hauna faida kwetu zaidi ya hasara.Tuachane nayo hayo MAMWINYI,tubaki wenyewe na resources zetu kama madini,mbuga,gas,mafuta etc.na zitunufaishe WATANGANYIKA WENYEWE.
 
mkuu huwa nikiona ID ya Mufiyakicheko kwenye thread lazima nipite nijifunze namna anavyoandika kiswahili.......... ila huwa namsifu kwa kuendelea kulinda na kuhifadhi lugha mama yake:eyebrows:
kiswahili legelege, kimehathiriwa na lugha mama mpaka kwenye maandishi!
 
Masikini JK muungano una mfia mikononi na CCM wiki ijayo nayo inamfia, anaweka historia.
 
mmmmmhhh, Wazenj msikubali ufe. Union ukifa tu mmeumia kuanzia asbh mpaka jioni
 
Nenda Zanzibar nenda, naandaa sherehe ya kufa mtu haya mazingaombwe ya muungano yatakapokwisha. NAUCHUKIA SAAAAAAAAAAAAAAAAAANA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
 
Back
Top Bottom