Muundo wa Serikali

Muundo wa Serikali

32Roberts

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
109
Reaction score
17
Great thinkers Salaam!

Nimekuwa nikifuatilia Bunge Maalum la katiba ila nimechoshwa na Malumbano ya mfumo wa Serikali Mbili au Tatu etc.Baada ya kufuatilia hoja ya Pande mbili hizi nnachokiona ni kwamba tulikuwa na kama kulikuwa na serikali tatu ila hazikuwa wazi.walio badili katiba baadae ndo walituletea shida hizi.Wakati muundo wa muungano unaundwa kulikuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye alishughulika na Mambo ya Tanzania Nzima,Tulikuwa na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais ambaye alishughulika na Mambo ya Tz Bara yasiyo ya Muungano then Rais wa Zanzibar na Makamu wa Pili wa Rais ambaye alishughulika na Mambo ya Zanzibar yasiyo ya Muungano.Sasa Je hizi zilikuwa serikali Mbili au Tatu?Nakosa jibu.Na Je nini kilipelekea kuvuruga Mfumo huo?Je Malumbano ya serikali Mbili au tatu ya nini?
 
Nachokiona hapa sio tena serikali ngapi ndo zinapiganiwa bali uhai wa CCM. Kwa sababu muundo mpya wa serikali lazima utaharibu mpango wa CCM kuendelea kutawala Bara na Zanzibar kimfumo dume. Naona mwisho wa CCM umefika sasa wanaupigania kwa nguvu zote coz kuna strong ties btn bara na zanzibar juu ya CCM na sio serikali as such. Nawaza tu!
 
Back
Top Bottom