Kongole nyingi kwao kwa kusikiliza ushauri, nikupe pia heko nyingi kwa kuleta changamoto hiyo na kupendekeza utatuaji wa changamoto hiyo..
Sidhani kuwa mleta mada ndio kashauri bali hii TANROADS walikuwa nayo kapuni mlalamikaji alipojaribu kuletaa maada ya kulaumu bila ya kuongeo nao, wamemjibu na hii sio kitu ya kudizaini siku mbili
Hii ni mpya, na mimj sio mtu pekee niliye leta haya malalamiko..
Sijasema uzi huu ndio umefanya wabadili design.. kuna watu najua ambao wamekwenda mbali hadi kuwaona kabisa..
Jambo la msingi ni kwamba hii design ni mpya haikuwepo mwanzo.
Tatizo lako naona unaona wivu kama ingetokea kweli ushauri wangu umesikilizwa.
Ninacho weza kusema watanzania tujifinze kusema ukweli.
Kuna engineers wengi wanapita pale lakini hawana habari na kinacho endelea.
Sidhani kuwa mleta mada ndio kashauri bali hii TANROADS walikuwa nayo kapuni mlalamikaji alipojaribu kuletaa maada ya kulaumu bila ya kuongeo nao, wamemjibu na hii sio kitu ya kudizaini siku mbili
It was a big shame. Sijui kama watatekeleza maana naona wamemwaga lami hadi karibu na makutano..Huwa naheshimu sana taaluma za watu, ila inafika kipindi unajiuliza inakuwaje professional wa fani fulani anafanya kitu ambacho hata mtu ambae hana elimu ya hio faniyake anaona hayo makosa?! Nilikuwa sitaki kuamini kama kweli hapo Mbezi mwisho wanafanya kile ulichokuwa unakipigia kelele!
Seriously unajemnga barabara mithili ya motorway then kwenye junction unataka kuweka taa magari ya njia nane yasimame kupisha mengine kutoka uchochoroni?!!! SMH
ni ujinga kwa kweliHakuna cha underpass wala overpass. Mataa kama Kenya na CAG ashasema ni utopolo tu unaendelea. Labda overpass ya abiria kuvuka kutoka stand ya daladala kwenda stand kubwa