Muuguzi na mkunga ngazi ya cheti anatafuta kazi

canular

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
858
813
Jamani wana jf mm nina ndugu yangu/mjomba wangu anaumri wa miaka 27 amehitimu mwaka jana amehitimu uuguzi na ukunga ngazi ya cheti.Hivo basi anatafuta ajira katika secta hiyo kwa sasa amekuja dar kutafta kazi hiyo nawaombeni mtakao guswa ama ambao mtaweza kumsaidia mumsaidie jamani na huo ndio ufaulu wake hapo chini kwa mawasiliano yake kwa yule atae hitaji kumsaidia ni 0757150600 au ni pm kwa niaba yake yeye hajajiunga jf na pia yupo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile ila akipewa na hifadhi ya kukaa au kuishi naomba mumsaidie jamani yupo tayari hata kuuza kwenye duka la dawa pia asanteni
1521525844438.png
 
pia yupo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile ila akipewa na hifadhi ya kukaa au kuishi naomba mumsaidie jamani yupo tayari hata kuuza kwenye duka la dawa pia asanteni

Apewe hifadhi ya kuishi?!!!!!!!!!
 
pia yupo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile ila akipewa na hifadhi ya kukaa au kuishi naomba mumsaidie jamani yupo tayari hata kuuza kwenye duka la dawa pia asanteni

Apewe hifadhi ya kuishi?!!!!!!!!!
Ndio mkuu coz kazi yaweza kua mbali na anapo ishi ndio maana anapendekeza hivo mkuu
 
Back
Top Bottom