Huwezi, ukikubali kuvunja mkataba huwezi kushtaki baadae..Nimeajairiwa na sekta binafsi,mwaajiri anataka tuvunje contract by mutual separation without any justification of pure performance,anataka anilipe 5months,je ninaweza kuchukua hela hiyo halafu nikamshtaki?
Unless hakubaliani na kiwango cha damagessasa mmevunja mkataba maana ake yeye amekuomba wewe kuwa ameshindwa kuendelea na mkataba wenu(one party has a right to surrender) kama ameweza kulipa hiyo million tano kama demages yako hapo wala usiende kumshitaki maelezo zaidi fika ofisin kwangu
Hapana huwezi kukibali kuvunja mkataba halafi tena ukaenda kushitaki sheria itakubana au kama unataka ukawalipe watu fidia ya kumpotezea muda wa kuendesha kesi mahakamaniNimeajairiwa na sekta binafsi,mwaajiri anataka tuvunje contract by mutual separation without any justification of pure performance,anataka anilipe 5months,je ninaweza kuchukua hela hiyo halafu nikamshtaki?
yaapUnless hakubaliani na kiwango cha damages
Hii ni kwa mikataba ya jumla (mikataba chini ya sheria ya mikataba sura 345 toleo la 2002). Lakini ktika sura la ikataba ya kazi kidogo inakuwa very specific so sheria inayotmika ni ELRA 2004 na kanuni zake 2007. Ndo tunapata mikataba ya aina hiziHuwezi, ukikubali kuvunja mkataba huwezi kushtaki baadae..
Mikataba ina njia kadhaa za kuisha
1. Kwa kufanyika kilichoingiwa mkataba (mf kumaliza ujenzi kwa mkataba wa ujenzi na kulipwa)
2. Kwa uwepo wa majanga ya asili (mf vita, njaa nk kutegemeana na kitu husika ktk mkataba)
3. Kwa kuvunja (upande mmoja ukashindwa kutimiza majukumu yake)
4. Kwa makubaliano (kama hayo anayotaka bosi wako)
mkuu kwa mfano mtu amefanya kazi miezi mitano kisha akaachishwa kazi ghafla bila barua yoyote ya kuachishwa kazi wala bila mshahara wa mwezi mmoja mbele.Chukua pesa usepe itakusaidia kujiajir au kuhonga upate job ingine....
Vifungu vyako uchwara visikudanganye ukafungua kesi.
Utapoteza muda.
Unaweza kuonewa zaiiid.... hata iyo pay usiipate ukajikuta we ndo unakosa...
Si unajua nguvu ya pesa wewe
Inategemea na conditions za mkataba wenu......mkuu kwa mfano mtu amefanya kazi miezi mitano kisha akaachishwa kazi ghafla bila barua yoyote ya kuachishwa kazi wala bila mshahara wa mwezi mmoja mbele.
mfanyakazi kama huyo ana haki gani mbele ya sheria?
mkataba aliokuwa nao ulikuwa unlimited
mkuu asante kwa ushauri.. mkataba unaongelea tu majukumu ya kazi, lini nimejiunga basi. nimeulizia sana namna mkataba unavomalizwa lakini sijajibiwa zaidi ya kutishiwa kuachishwa kazi.Inategemea na conditions za mkataba wenu......
Km unakuruhusu kudai haki utatafuta wakili safi... munatafuta pesa.... ila km anakupa cha kujizugia we pokea mkaushie.... utapoteza muda tu pesa ni pesa braza....
Alafu kama uliingia kwa mkataba hakikisha unatoka kimkataba au kimahandish.... c ajabu document zako zinatumika kuwalipa wengine free kabiiisa...
Kwa iyo hizi inshu inategemea mulizianza vp
asante sana mkuu kwa maneno ya busara. kazi za wahindi hizi zinasumbua sana...Kama hauna pesa na unajua umeonea.... as long as haujapoteza pesa yako... temana nao.....
Utapoteza pesa....
Uzembe uliufanya mwanzo.
Next time ukiwa unaachek job.
Make sure kuna mkataba unaoonesha.
Sheria na taratibu za kazi.
Mafao... over working boom.
Duration.
Vitu ambavyo vitasababisha kukuachisha kazi au kukomesha mshahara wako.
Kiwango sahihi cha mshahara.
Wadhamini.
E.t.c
Ila zkiwa kazi za kawaida laki 5 per month piga tu kienyej kuhofia usumbufu
Na hakuna watu wasumbufu km wahind.... wachumi saaanaasante sana mkuu kwa maneno ya busara. kazi za wahindi hizi zinasumbua sana...