Muswada wa mchakato wa Katiba Mpya: Hakuna mbunge alyechangia hoja ya maana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada wa mchakato wa Katiba Mpya: Hakuna mbunge alyechangia hoja ya maana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magobe T, Nov 14, 2011.

 1. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanaJF, leo nilikuwa nafuatilia kwa makini vikao vya Bunge tangu asubuhi hadi jioni. Baada ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mwenyekiti wa Kamati na Mwakilishi wa Kambi ya Ushindani Tundu Lisu kuwasilisha hotuba zao, walifuatia wachangia watatu mmoja kutoka CCM, CUF na Augustine Mrema. Kwa wote hawa sikuona hoja yoyote waliyochangia kwenye huo muswada badala yake niliona kama wamapiga vijembe Tundu Lisu. Hii inasikitisha au tuamini kuwa baada ya wabunge wa Chadema kutoka nje hapakubakia wabunge wenye hoja? Nilitegemea wabunge wangekuwa kitu kimoja katika kuhakikisha mchakato wa kupata Katiba Mpya unaenda vizuri na hasa kuhakikisha madaraka ya Rais yanapunguzwa na siyo kama serikali ilivyofanya kukataa mapendekezo ya wadau kuhusu kumpunguzia Rais madaraka.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Wenye akili walisoma alama za nyakati wakamtonya Bi. Kiroboto. Ndiyo sababu kamaliza mjadala dakika 30 kabla.
   
 3. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tuna safari ndefu sana kuelekea demokrasia ya kweli. Social networks inabidi zitusaidie. Ningefurahi kama jamii forum ingekuwa inapatikana kwa watu wengi
   
 4. K

  Kiti JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hawa CCM hawasomi alama za nyakati na kuona yaliyotokea Kenya hadi ikabidi katiba mpya itungwe! Kweli jamani Watanzania wa sasa siyo wa mwaka 47. Katiba mpya lazima by ANY MEANS NECESSARY.
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wote Kilango,Halifa na Mrema niliona walikuwa wanawaponda CDM tu badala ya kuchangia.
   
 6. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kawaida huwa kukosoa kwa hoja ya wengine hasa kambi rasmi ya upinzani ndo wanachojua,wazembe wakufikiri.
   
Loading...