Muswada wa Maendeleo ya Jimbo Umekuwa Sheria! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada wa Maendeleo ya Jimbo Umekuwa Sheria!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Buchanan, Nov 10, 2009.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tarehe 27 Oktoba 2009 Spika 6 aliliambia Bunge kwamba Mh Rais ametoa kibali na kwamba The Constituencies Development Catalyst Fund Bill, 2009 imeshakuwa Sheria ya Nchi na Sheria hiyo itaitwa The Constituencies Development Catalyst Fund Act, Na. 16 wa mwaka 2009! WanaJF mlionyesha wasiwasi wenu juu ya huu mfuko lakini ndio hivyo imeshakuwa ni mojawapo ya Sheria za nchi. Kilichobaki ni kusubiri juu ya matumizi hasa ya mfuko huo!
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Nov 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Learned kakaz n dadaz kulikoni, hamna in put yoyote?
   
Loading...