PreGE2025 Musukuma ataka wateule wa Rais wanaotaka ubunge wakaguliwe na CAG

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka kugombea ubunge kabla ya kuruhusiwa.

Ameyasema hayo leo, Jumatano Aprili 15, 2025 bungeni alipokuwa akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

Mzizi wa hoja ya Musukuma ni kukazia kauli wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Machi 11, 2025 akiwataka wakuu wa wilaya (DC), wakurugenzi wa halmashauri (DED) na watumishi wengine wa Serikali wanaotaka kujitosa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kutoa taarifa mapema, la sivyo watakosa vyote.

"Kwa wale wanaotaka kugombea kutokea huko (wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi), natamani CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) awafanyie ukaguzi maalumu ili waje humu wakiwa wasafi. Tusiifanye nyumba hii kama kinga," amesema Musukuma.

View attachment 3306314
Nini kilichomuta ASAD? tatizo wakikaguliwa na kukutwa na madudu CAG ndio anaangushiwa zigo?
 
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka kugombea ubunge kabla ya kuruhusiwa.

Ameyasema hayo leo, Jumatano Aprili 15, 2025 bungeni alipokuwa akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

Mzizi wa hoja ya Musukuma ni kukazia kauli wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Machi 11, 2025 akiwataka wakuu wa wilaya (DC), wakurugenzi wa halmashauri (DED) na watumishi wengine wa Serikali wanaotaka kujitosa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kutoa taarifa mapema, la sivyo watakosa vyote.

"Kwa wale wanaotaka kugombea kutokea huko (wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi), natamani CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) awafanyie ukaguzi maalumu ili waje humu wakiwa wasafi. Tusiifanye nyumba hii kama kinga," amesema Musukuma.

Kwani yeye ni msafi kiasi Gani?
 
Wazo zuri
 
Msukuma aache uoga,,kwani CAG hajafanya ukaguzi kwenye halmashauri?atulie tu watu wakagombee
 
Std 7 Msukuma acha kujitoa ufahamu, hujui kuwq FISADI ni sifa ya kuwa kiongozi CCM?...CCM mbele kwa mbele..Mafisadi juu, juu zaidi
 
Back
Top Bottom