Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 800
kuna connection ipi kati ya picha hapo juu na hiyo story? au na wewe unafanya kazi Global publishers! but the story is real touching na ina meseji kwa mabinti zetu!
Suala sio ubishi bali huwa wakimtrust mtu huwezi badili malengo yao.
Lazma wawe makini.
Hii story inatupeperushia ndege wetu. Nina katoto kanasoma 1st year apo Ustawi na nna mpango wa kukachinja usiku wa New Year, Sasa kakisoma hii story ya kutunga pataeleweka kweli??! Mkuu Bujibuji aya mambo sio bhana
This is just a story. I used to read such stories, touching ones, in the novels of James Hadley Chase.