Baada ya hii copy and paste ya Wall of Fame, yule dogo nilishamtoa kwenye list ya wakali wa RNB bongo, kuna uwezekano hata nyingine ana-copy vile vile..

Mbona alishaelezea lakini uhalisia wa hiyo nyimbo na kwa nini alikopi. Its a common practice in a world of music today. Hamna jipya. Buying copyright na kuitengeneza upya its a normal thing.