Mgombea Ubunge jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amewahimiza wafanyabiashara kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 akihimiza kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika siku hiyo hayatofanyika kwani hawana ubavu huo.
Hakika nafikiri wanamtandao pekee na drone zao ndiyo wenye ubavu!Anaweweseka!