:angry: mnazungumzia musoma technical high school! ndiyo ipi hiyo tena? au mna maana ya musoma alliance secondary school (mass) iliyopo nyarusuria karibu na kambi ya wakoma walikosoma akina mabere marando, mukandala wa chuo kikuu, jaji kipenka musa, nyaronyo kicheere, philip marmo, prof. katunzi na wengineo?
miaka ya 60, 70 na kidogo 80 ilikuwa kiboko, mgoma kila mei 12, ugomvi na vita na maloko wa mara sec kila term na urafiki mkubwa na jeshi kiabakari na uhasama mkubwa na mufufu (musoma ffu).