Musoma mtabadilika lini?

Hizo vitu ziko kila sehemu..........

ITAKE RADHI MUSOMA YANGU....... naipenda sana
 
Mulisya wewe Wa Ntarahamwe uliyetoroka kwenye makambi ya wakimbizi. Jionee fahari unya Rwanda wako, acha kuzuga na kujidai wewe ni Mkurya
Hilo neno mulisya ,shukuru halijui maana yake?. Hili neno liliwahi kumkost mtu pale nyasaka mwanza. Umelitamka umenkumbusha mbali.
 
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Hizi ndio tabia hasa za kabira la wajita,wakurya hawanaga huo muda.
Kweli kabisa yapo kote inawezekana mtoa mada hajawahi ishi mikoa mingine kwa hivyo asilaumiwe sana.

Yaani we acha tu! Nimebaki na machata mpaka jeshi wanikataa wakihisi rijambazi ila nashkuru life Good kwa watu natamani waje huku na Fuso sijui watabeba kipi waaache kipi? Maana vyote vizuri
 
Back
Top Bottom