Musoma mtabadilika lini?

KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !

Ukichepuka kwenda kukojoa porini au uchochoroni, wanakusema eti unajifanya kijana wa Dar usiye na haibu kupiga punyeto popote pale.
 
Nadhani niseme tu kua mkoa wa mara ikiwemo musoma haina desturi ya umbea umeacha mikoa mingi sana
Any way yawezekana umeamua kupiga madongo mji wetu....!

ACHA UMBEA WA MITANDAONI UTAVALISHWA KHANGA KIJANA WA KIUME
 
Cyprian Musiba ni miongoni mwa watu wanaosadifu tabia za wanaume wa Musoma, tabia za majungu Na umbea
 
Nadhani niseme tu kua mkoa wa mara ikiwemo musoma haina desturi ya umbea umeacha mikoa mingi sana
Any way yawezekana umeamua kupiga madongo mji wetu....!

ACHA UMBEA WA MITANDAONI UTAVALISHWA KHANGA KIJANA WA KIUME
Usiutetee tena wanaume ndio wajungulikaji wakubwa
 
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Uko sawa kbs, nimeishi huko nawafaham vzr wenyeji wake.
 
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Wivu tu kwa sababu waziri mkuu yupo musoma
 
Yaani karne hii bado tu pana watu wanawaza NEGATIVELY kama hivi .... Don't you have something POSITIVE & PRODUCTIVE to do instead of WASTING YOUR PRECIOUS TIME ....
Kama manabii walisema wewe Ni nani usisemwe....usiogope kusemwa chapa kazi
 
Back
Top Bottom