Musoma,Mara

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Wadau,habari za Ijumaa.
Nipo huku Musoma mjini mkoani Mara,Kwa kweli wenyeji Wa huku no wakarimu,waungwana na wasiokuwa wachoyo kama baadhi ya mikoa has a ile yenye baridi Kali.

Tangu kuwasili kwangu jtano,nimepokelewa na wadada wasiokuwa na choyo,warefu,wanaume nao wababe na wasiokuwa na masikhara.
Nimejifunza kuishi kibabe,nikiwa na mwanamke ni mbabe mwanaume naye mbabe basi no raha sana hata kuzisikia sauti zao za kibabe.

Zaidi,lile tangazo LA kunikaribisha mkoani,limeboreshwa had I kuwa lugha laini badala ya ile ya kibabe tuliyoizoea.

Kwa ujumla,mkoani Mara in mahali pazuri sana na panafaa Kwa utalii Wa ndani.
Naondoka hapa naelekea Unyanyembe. Tuonane huko uzinduzi Wa kiwanja cha ndege na barabara ya Urambo Ndono.

Inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
urambo ndono ni kile kipande cha kutokea usoke kwenda urambo nini manake nakumbuka ndio kilikuwa cha vumbi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…