Wanaogopa mambo yanaweza kutapakaa nchi nzima.Naona wakubwa hawataki iende viral, pengine kuna jambo,,
Download games na movie mapemaMusoma sehemu gani tuwapigie simu ndugu zake Nyerere
Kwani kipi hujaelewa hapo si umeambiwa walikuwa wanagombaniana ubwabwa wa mashekhe ubwabwa tu hakuna cha ziada.Ilikuaje kwani,
Candy crush, temple run & subway surfer.. yako tayari. Niongeze yapi?Download games na movie mapema
Dah, kama hii taarifa ni ya kweli basi watanganyika wachukue tahadhari.Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,?
Hujawahi kusikia kesi ya wizi wa kuku ni kubwa kuliko ng'ombe? Ni ubwabwa tu ikabidi polisi waingilie kati.Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,?
Umenipa kazi ya ku'gugo' hizi ni nini? Kikubwa ni kuondoa upweke!Candy crush, temple run & subway suffer.. yako tayari. Niongeze yapi?
Ni games 😁Umenipa kazi ya ku'gugo' hizi ni nini? Kikubwa ni kuondoa upweke!