Muslims are the most satisfied people research found

Muslims are the most satisfied people research found

Status
Not open for further replies.
Halina maana hiyo uliyoileta ww Bro

Na iwapo kutakuwa na Muislam mwenye tafsiri kama yako,Basi atakuwa haujui Uislam wake
Chunguza kwa makini,kisha jaribu kusoma na kutafakari kabla ya kunena
linamaanisha nini?
 
kusoma kuelewa mkuu sio kukesha au kukariri!!!

Wewe lazima uelewe neno hilo linapatikana katika Qur'an tukufu katika sura 8 aya ya 22-23, [(8:22-23)]. Ambapo Allah anasema; (katika tafsiri ya kiswahili):-

" Wala usiseme kamwe kwa jambo lolote lile, hakika nitalifanya hilo kesho isipokuwa Allah akipenda---"

👆🏻Hayo maneno mawili ya mwisho "Allah akipenda" maana yake kwa kiarabu ndiyo " "inshaallah" (إن شاء الله),

إن= endapo/iwapo/kama.
شاء الله=Allah akipenda.

Nadhani mpaka hapo utaacha ubishi usiokuwa na tija. 🤔🤔
 
Sibishi nina kuambia tena kusoma kuelewa kukesha mbwembwe!!
 
Huyo unamsifia bure anayo busara gani??, neno "inshallah" linapatikana ndani ya Qur'an tukufu ambapo Allah ametuagiza kwamba tunapotoa ahadi ya kufanya jambo hapo baadaye pia tusisahau kusema neno "inshallah" na maana yake ni "Allah akipenda". Mfano ukisema kumwambia mtu; " kesho nitakuja"- hapo inatakiwa useme "inshallah" kwa sababu hiyo "kesho" ni Allah pekee anayejua kitatokea nini, hivyo hiyo ni kama dua ya kuepusha kama kutatokea kipingamizi chochote kitakachozuia safari yako hapo kesho.

Nimekuandika hiyo habari ili huyo uliyemsifia naye aelimike.
Na ikitokea hujaenda si inamaana Mungu hakupenda/kupanga iwe hivyo? Khii dhana ya Mungu akipenda hata kwenye ukristo na biblia ipo ila halina nguvu kama inshaallah.
 
Kweli kabisa mkuu na hii inakupa peace zaidi na unajifariji kila wakati kwa kumtegemea Mungu
Imani ni nzuri sana kwani hata ukipata matatizo usiende kulaumu mtu au kwenda kuzitutika ukitegemea unapunguza tatizo
Bali mshukuru Mungu na mwamini yeye tu
Kuna faida nyingi sana kumuamini Mungu ki kweli na sio kinafiki kama wakristu, mi ni mkristu ila wakristu wengi hawakisimamii wanachokiamini
 
Bora huu utafiti wameufanya hao wazungu ungefanywa na waislam pangekua hapatoshi hapa.
 
Kuna faida nyingi sana kumuamini Mungu ki kweli na sio kinafiki kama wakristu, mi ni mkristu ila wakristu wengi hawakisimamii wanachokiamini
Miaka ya nyuma nchi moja mbali na nyumbani kuna manager aliniudhi sana nikamtupia uniforms zao usoni na kumwambia I quit my job
Mzungu mwingine akaniambia utapata wapi kazi?
Nikamwambia namuamini Mungu
Siku ya nne nikapata kazi nyingine
Mkuu ni imani tu
Mwingine alilewa akiwa kazini nikawa namkataza kama boss wake akawa ananiambia ni bia mbili tu
Mwisho CEO akamshtukia siku moja nikaitwa akafukuzwa mbele yangu
Jamaa badala ya kujirekebisha akaenda bar na kuzichapa haswa na akaingia ajali ya gari yaani kosa baada ya kosa na divorce ikafuata
Imani ni kitu kingine kabisa maana hujui kesho utakuwa wapi
 
Na ikitokea hujaenda si inamaana Mungu hakupenda/kupanga iwe hivyo? Khii dhana ya Mungu akipenda hata kwenye ukristo na biblia ipo ila halina nguvu kama inshaallah.

Unajua mtu ukiwa unayo imani haba au ukikosa imani kabisa kwa Mungu ndipo unapoweza kumpuuza Mungu, katika Uislamu ili mtu utende jambo lolote jema ni lazima umtangulize Mungu kwanza kwa kuomba dua " Bismillah" yaani "kwa jina la Allah" halafu ndipo uanze kufanya hilo jambo hapo tunaamini nguvu za Mungu zitakuwa pamoja na wewe katika hiyo kazi, halikadhakika mtu hajui kesho yake ni Mungu tu ndiye ajuaye basi ukiwa na jambo ambalo utalifanya kesho (siku za baadaye nk), Mungu ametukataza kusema "hakika nitafanya kadha wa kadhaa hapo baadaye isipokuwa kwa kumalizia na neno inshallah". Hiyo ndiyo falsafa ya matumizi ya hilo neno aliyoitoa Mungu mwenyewe katika Qur'an na sio vinginevyo.

Kifupi ni kwamba katika kazi anayofanya/atakayofanya mtu kuna nafasi ya Mungu na nafasi ya mtu na nafasi hizo zikishirikiana basi tija hupatikana ila ni kwa mtu anayemuamini Mungu.
 
Mkuu usichukulie poa jaribu kuewa kabla ya kutafsiri!!

Sasa na wewe toa tafsiri yako tuione, kelele hazisaidii kitu hapa au wewe ulikwenda shule kujifunza kelele??,😁😁
 
The finding may be Not be conclusive and Not representing the the majority of true Islams whenever they are.Probably I should pose a question on how researchers got the sample.Did they look at names of people or what?
That's rhetoric contrast, u mean true Muslims are not satisfied? Ur stand is illogical
 
Hiyo ni habari ya kimataifa siyo ya kidini. Utafiti
Nakubaliana na tafiti ila napenda kutoa rai tafiti nyingine(zinazohusu dini yoyote) zikija na negativity(that'll depend on the subject that'll covered) tuwe wavumilivu na tujaribu kuwaelewa kwani yatakuwa yameandikwa yaliyotokana na tafiti katika topic husika. Huwa wengi wetu tuna tabia ya kuwapachika majina ya ajabu ajabu researchers pale wanapoandika tusiyopendezwa nayo.
Hongera zao researchers na waendelee kutuelimisha.
 
Kwani kwenye hiyo research findings Kuna mtu ametukanwa au vp au Kuna mtu anateseka tu kibinafsi?
 
Findings za research huwa haziwi na malengo ya matusi kwa namna yoyote ile, matusi au la hutegemea na mitizamo yetu na aina ya mafundisho tuliyopewa au yale yaliyomo kwenye vitabu vya dini tunazoziamini.
Back to the question, kwenye research findings hapa hakuna aliyetukanwa na ni imani yangu pia hakuna anayeteseka kibinafsi. Concern yangu ilikuwa tuendelee kukubaliana na tafiti unless labda nasi tuwe tumefanya tafiti zetu (credible and reliable) kama zitatoa majibu tofauti then we can challenge them with facts, that's all.
Kwani kwenye hiyo research findings Kuna mtu ametukanwa au vp au Kuna mtu anateseka tu kibinafsi?
 
That's rhetoric contrast, u mean true Muslims are not satisfied? Ur stand is illogical
You misquote me. My main concern is how the sample people were identified bearing in mind that number of pagans going to masjid and churches is growing nowadays. Did the the research sample consist only Islams?
 
That's non sense, pagans going to masjid? How many? Be realistic
 
That's non sense, pagans going to masjid? How many? Be realistic
I think we should end this discussion here. It is unfortunate that you dont understand the current situation of the world believers of Islams, Christian etc. There are so many peole who usually goes to masjid or churches who are fornicators, chiefs, liars, revangers etc . Which group do you put such peoples? Thanks
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom