Muslims are the most satisfied people research found

Muslims are the most satisfied people research found

Status
Not open for further replies.
Wewe lazima uelewe neno hilo linapatikana katika Qur'an tukufu katika sura 8 aya ya 22-23, [(8:22-23)]. Ambapo Allah anasema; (katika tafsiri ya kiswahili):-

" Wala usiseme kamwe kwa jambo lolote lile, hakika nitalifanya hilo kesho isipokuwa Allah akipenda---"


👆🏻Hayo maneno mawili ya mwisho "Allah akipenda" maana yake kwa kiarabu ndiyo " "inshaallah" (إن شاء الله),

إن= endapo/iwapo/kama.
شاء الله=Allah akipenda.

Nadhani mpaka hapo utaacha ubishi usiokuwa na tija. 🤔🤔
Ahsante
 
Hayo mjerumani kayaona tu lakini hajajua hisia ndani ya mioyo ya waislam ilivyo baridi na utulivu kwa karibu mambo mengi ndio maana muislam wa kweli hana papara na ni kwa sababu ya kuridhika na nafsi ipo furahani wakati wote, lakini wasiojua ni wale wasiokubali, basi wanakua na dukuduku lililokwama kooni kwa waislam na uhasidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom