Muslim Brotherhood Urges Jihad for Jerusalem...

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
ALeqM5iRwpk_piWSjCGrpyPlTH4jFYsQ4g

CAIRO - The supreme guide of the Muslim Brotherhood, from which Egypt's President Mohamed Morsi emanated, called on Thursday for a jihad (holy war) to liberate Jerusalem from Israeli rule.

"Jerusalem is Islamic ... and nobody is entitled to make concessions" on the Holy City, said Sheikh Mohammed Badie in his weekly message to supporters.

"The jihad for the recovery of Jerusalem is a duty for all Muslims," he said, stressing that the liberation of the Holy City "will not be done through negotiations or at the United Nations."

Israel, which signed a peace treaty with Egypt in 1979, has watched with concern as Islamists were catapulted to the forefront of politics following a popular uprising that toppled president Hosni Mubarak last year.

Morsi has repeatedly said he would respect international treaties signed by Cairo. But his former movement has also said there is room to revise the accords, without objecting to them in principle.

Copyright © 2012 AFP. All rights reserved.
 
Hawana kitu hao,tunajua tunaelekea mwisho wa dunia kutokana na maandiko,israel itaanza kuichabanga iran kwanza,wakumbuke walichofanywa ktk vita ya siku 6 na israel ilikuwa imevamiwa na mataifa ya kiarabu yaliyoizunguka ili kuimaliza israel ila walichokuja kukutana nacho ni kuserrender
 
Mkiona haya jua mwisho umekaribia.
Taifa litaamka kupigana na taifa,falme na falme. Patakuwa na vita na tetesi za vita

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hawana kitu hao,tunajua tunaelekea mwisho wa dunia kutokana na maandiko,israel itaanza kuichabanga iran kwanza,wakumbuke walichofanywa ktk vita ya siku 6 na israel ilikuwa imevamiwa na mataifa ya kiarabu yaliyoizunguka ili kuimaliza israel ila walichokuja kukutana nacho ni kuserrender

That was then, and this is now
 
Nchi ya ahadi hiyoo ohooo! hao Egyptian nadhani wamechoka kuishi, wakumbuke vita vya 6 days!
 
Hawa jamaa yabidi waweke nyumba yao sawa kabla hawajaiingia Israel, wataumbuka.
 
Egypty kuna tatizo la ajira, umaskini mkubwa badala ya kutatua mambo yanayowahusu hawa brotherhoo wanatafuta mgogoro na nchi nyingine! Hapa watapoteza muda na uchaguzi utafika bila kutatua kero walizowaambia wananchi watazifanyia kazi!
 
Hakuna muislamu wa kiarabu mwenye uwezo wa kumtishia ''nyau'' Israel. Mkakati uliopo sasa hivi kwa taifa la Israel ni kubomoa vinu vya nyuklia vya Iran. Huko misri ni issue ya baadae.
.
 
Hawa viongozi wajanja balaa. Wameshajua jinsi ya kuondoa takataka za kibinadamu kwao kwa kuwadanganyia holy war ili wajilipue na viongozi wababki kula starehe bila wajinga kuepo. Jiulizeni ni lini kiongozi mmoja ataamua kujitoa mhanga au wameandikiwa walala hoi kujilipua tu?
 
arafat aliwadanganya wapalestina wakajilipua yeye akafia kifuani kwa mwanamke, osama kadanganya wenzie yeye kaenda kujifungia abbotabad chumbani na mademu wanne.
 
Back
Top Bottom