MUSIC / VIDEO / FILM PRODUCTION

DJ Imma

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
221
100
Habari ndugu zangu wote wa ndani na nje ya tanzania,

Naomba kuwatambulisha kwenu kampuni yetu inayofanya shughuli zote za production na Entertainment kwa ujumla,

Tuna studio kwa ajili ya audio productions za aina zote kama vile mziki, matangazo, sounf over na radio programs!
Tuna studio kwa ajili ya Video / Film productions za aina zote kama vike video music, matangazo, documentary, vipindi vya television, utengenezaji wa katuni na animations za aina zote.

tuna Models kwa ajili ya matangazo / mabalozi, kuonyesha mavazi na kufanya branding ya bidhaa mbali mbali popote tanzania!
pia tunakodisha mziki kwa ajili ya harus, send off na matamasha mbali mbali na kuandaa maonyesho na matamasha tofati tofauti tanzania.

kwa maelezo zaidi na kupata huduma zetu kwa ustad wa juu naomba tuwasiliane

+255 658 644 485
mooentertaiment1@gmail.com
 

Attachments

  • Moo Entertainment profile A.pdf
    422.4 KB · Views: 11
  • Moo Entertainment profile B.pdf
    628.8 KB · Views: 14
Back
Top Bottom